Wakongwe wa magari msaada tafadhali

T1986MCK

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
211
Reaction score
260
Naomba msaada wa ubora na ubaya wa Mark II Grande GX110. CC1988. Nataka ninunue hili gari kwa shughuli zangu binafsi. Asante. Cc Mshana Jr , LEGE, RRONDO na wakongwe wengine. Asanteni.
 
Iko very comfortable hiyo gari na kwa safari ndefu iko poa sana
 
Nasikia ni nzuri ila inabidi ujipange kwenye wese maana inabugia kinoma
 
Naomba msaada wa ubora na ubaya wa Mark II Grande GX110. CC1988. Nataka ninunue hili gari kwa shughuli zangu binafsi. Asante. Cc Mshana jr, LEGE, RRONDO na wakongwe wengine. Asanteni.
Nunua hio gari zina engine ya vvti ulaji mafuta ni wa kawaida wala usitishwe nina mwaka wa nne natumia engine kabila hio ingawaje sio gx 110 na nafasi yake ndani pia ni nzuri.
 
Naomba msaada wa ubora na ubaya wa Mark II Grande GX110. CC1988. Nataka ninunue hili gari kwa shughuli zangu binafsi. Asante. Cc Mshana jr, LEGE, RRONDO na wakongwe wengine. Asanteni.
Gari nzuri kwa mjini na safari za hapa na pale. Chukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…