Wakongwe wa Soka Tanzania unweza kuwatambua hawa?

Wakongwe wa Soka Tanzania unweza kuwatambua hawa?

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu, Kama mkiweza kuwatambua hawa, basi Nyie ni mkongwe ktk soka [emoji2]

Screenshot_20210706-151603.jpg
 
Mrefu kuliko wote na wa pili toka kushoto ni Franz Berkrniber, anayefuata ni Gurd Murrer hapo world cup Munich 1974
 
Siwajui. Ila kuwa jinsi wanavyo onekana gawa walicheza huko italia club ya parma
 
Hii ni Parma ya Italia miaka ya 80 kama sikosei
Naona itakua before their Glory days za 1990s
 
Mrefu kuliko wote na wa pili toka kushoto ni Franz Berkrniber, anayefuata ni Gurd Murrer hapo world cup Munich 1974
Huyu enzi zile - early 90s alikuwa ni Chair wa Bayern ila alipoona mambo hayaendi ilibidi afundishe Bayern na wakawa mabingwa. Anaitwa Franz Beckenbauer
 
Back
Top Bottom