Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Huyu enzi zile - early 90s alikuwa ni Chair wa Bayern ila alipoona mambo hayaendi ilibidi afundishe Bayern na wakawa mabingwa. Anaitwa Franz BeckenbauerMrefu kuliko wote na wa pili toka kushoto ni Franz Berkrniber, anayefuata ni Gurd Murrer hapo world cup Munich 1974
Hawa ni wajerumani bosiHii ni Parma ya Italia miaka ya 80 kama sikosei
Naona itakua before their Glory days za 1990s