Wakopeshaji wa vifaa vya kilimo na ujenzi (EFTA) ni wahuni?

Uhuni wa EFTA upo kwenye riba, yani unatoa 10%-20% ya mkopo halafu wao wanatoa 80%-90% lakini riba inakuwa calculate kwa kutumia 100% ya mkopo badala ya kutumia Hiyo 80%-90% waliyotoa wao.
Yeah, hapo kimsingi unakuwa umekopa hiyo 80%-90% wanayotoa wao
 
Uhuni wa EFTA upo kwenye riba, yani unatoa 10%-20% ya mkopo halafu wao wanatoa 80%-90% lakini riba inakuwa calculate kwa kutumia 100% ya mkopo badala ya kutumia Hiyo 80%-90% waliyotoa wao.
Riba zao zikoje? Kwa mwaka
 

EFTA ni suluhisho la mjasiria mali , na wana MTAJI wakutosha hata ukitaka kiwanda cha 2B wanakupa na hawana uhuni kama unavyodai, Mimi tayari wamenipa Gari ya 92M na ninampango wanipe magari 10 yenye thamani karibia 1B kwa ajili ya miradi yangu.

Wewe kama unahitaji mkopo usiokua na dhamana nenda EFTA ofisini kwao usitafute taarifa mtaani, ila kama unataka mkopo mgumu kulipa ulizia hapo mtaani kwako uelekezwe vilipo VIKOBA !
 
Nadhani wewe ndio muhuni kwa kutoa tuhuma bila kujiridhisha.Utaratibu wa kutoa mikopo unaofanywa na taasisi zisizo mabenki mara zote wanataka commitment ya mkopaji pia.Kama machine inauza M10 basi unahitajika utoe fedha asilimia kadhaa ya thamani ya machine.Huo ni utaratibu.Usipotaka kufanya hivyo basi acha kuchukua mkopo.
 
EFTA ni majembe haswaa wakiboronga pia ntasema tuu
 


Ilichukua siku ngapi ,ku-proccess mkopo wako mpaka wakakupa.!
 

Wanalipa vizuri wafanyakazi wao, wana vimshahara vyao vinono kama mtu wa finance controller anakula 9m wanawazidi hadi mashirika ya serikali...

Hoja ni kwamba mkopo una mutual benefit, both side lazima mnufaike
 
Sio uhuni ndo masharti ya kula lazma uliwe.yupo jamaa yangu aliomba mkopo wa machinery gari yenye friza tani 2 na nusu.alifanikiwa na alipitia hatua kama ivo na 5 percent ya mkopo alilipa+takrima.it takes slopes&hills to succeed.no paths are so clear
Umeongea vyema
 
Umetoa taarifa nzuri, kweli EFTA sio wazinguaji wanajiweza mno, hata mishahara yao sio midogomidogo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…