Wakristo na manabii wao wa uwongo

Wapagani leteni mada za kipagani, ukristo hamuujui, mnapuyanga tu
 
Mungu ndio ale sadaka? wanakula hao watumishi wake
Watumishi wapi we jamaa! Wanaochukua sadaka na bado wanaona haitoshi wanawauzia udongo, maji na leso za upako na bado wanaona umebaki na pesa inawauma wanakuambia toa sadaka ya kujimaliza( sijui imeandikwa wapi hii).
 
Tafuta kumjua na kumpenda Mungu wewe...inavoonekana unapenda sana DINI yako na viongozi wake.
unaongelea dini? Mi si mtu wa dini, zungumza habari za wokovu. Yesu mwenyewe alizikuta dini ana akaziacha. Utakuwa unawajua mafarisayo na masadukayo, hawa walikuwa na misimamo mikali kwa dini yao, hata sasa dini zipo na zina wenyewe wanazipenda, mfano ni waislam na wakatoliki, huwaambii kitu kuhusu habari za wokovu
 
Watumishi wapi we jamaa! Wanaochukua sadaka na bado wanaona haitoshi wanawauzia udongo, maji na leso za upako na bado wanaona umebaki na pesa inawauma wanakuambia toa sadaka ya kujimaliza( sijui imeandikwa wapi hii).
tatizo ni waumini wenu ni wajinga, mnawafundisha mafundisho manyonge, hawana nguvu za kiroho, watapigwa sana tu na hao mitume na manabii feki
 
Kila jumapili/jumamosi mmekazana kukaririsha waumini wenu liturujia, nchi nzima mstari ni huohuo tu. Waumini wenu hawapati afya ya kiroho kwa mafundisho hafifu ya neno la Mungu. wanatoka na kwenda kwenye malisho bora, wengine wanaangukia kwa hao mitume na manabii feki. Chanzo ni nyie kuwapa mafundisho yaleyale miaka nenda miaka rudi, mtakimbiwa na waumini tu
 
Shule sio mashule
 
Wakristu ni wakatoliki. Wale wote walijitoa kwenye ukatoloki wanaitwa WAPROTESTANTS Maana waliulana ukristu na Sasa Wana u protest. Niambie Mkatoliki yoyote kuanzia papa ambaye amejitangaza kuwa ni nabii
 
Kuna Mtume na Nabii mmoja hivi kaniBlock kisa nilimuomba Aniombee Niwe na Uwezo Zaidi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…