Amani iwe nanyi.
Kadri siku zinavyosogea vinaibuka vizazi hatari kuliko maelezo, karibu asilimia 90 ya wakristo hawasomi hata maandiko (BIBLIA) wanajiendea tu kama kondoo aliepotea.
Katika Biblia takatifu MUNGU amesisitiza sana kufanya kazi, lakini unashangaa Kuona wakristo wengi leo hii hawataki kufanya kazi kwa juhudi, kutwa yupo ibadani , akinukuu maandiko Kwa makosa, utasikie eti MUNGU amesema.
22 Akawaambia wanafunzi wake, Kwa sababu hiyo nawaambia, Msisumbukie maisha yenu, mtakula nini; wala miili yenu, mtavaa nini.
Luka 12:22
23 Kwa kuwa maisha ni zaidi ya chakula, na mwili ni zaidi ya mavazi.
Luka 12:23
24 Watafakarini kunguru, ya kwamba hawapandi wala hawavuni; hawana ghala wala uchaga, na Mungu huwalisha. Bora ninyi mara nyingi kuliko ndege!
Luka 12:24
Mpendwa kuwa makini ,MUNGU habadiliki.
MUNGU anasisitiza swala la kazi sana, hata kabla ya dhambi alimuweka Adam kwenye bustani ili ailime na kuitunza.
Kuna amri ya MUNGU inasema "siku sita tenda mambo Yako yote na ya saba ni ya Bwana MUNGU wako...."
Hasa Hawa wamama hawataki hata kuhoji ni akisikia tu YESU anatajwa basi tayari anataka apokee🫢, mimi Kuna mtu wangu wa karibu sana katupiwa vipande kanisani na wanashuhudia kwenye kanisa hiyo zaidi ya watu watu wamekuwa vichaa!
Naamini uwepo wa MUNGU MMOJA ,siwezi kumpa nafasi mchungaji kunidanganya na kunifanya mateka never!, kama ni kitu kinahitaji maombi kweli NTAJIWEKEA MIKONO KICHWANI NA NTAJIOMBEA MWENYEWE.
Chukua Tahadhari Kwa kuyachunguza maandiko....