Wakristo na Miujiza

Kuna ndugu yangu halioji kanisani kwao namna zinavotumika zile sadaka zinavotumika wakamuita mpinga Christ, hahahaha...
 
Mpendwa Kwa hawa wahubiri wa kweli hawawezi kuamka tu amekula mapera akashiba akaanza pokea gari, pokea nyumba, aisee! MUNGU ni Wa utaratibu ukimuomba kitu ambacho unauwezo wa kukifanya na ukamuomba afanye utaomba mpaka utakufa bila matokeo🥺, katika MIUJIZA ya kweli inahitaji kibali kutoka mbinguni, ebu jiulize ni wangapi wamekufa Kwa kutaa kutumia dawa za malaria? Na Kwa kusema eti MUNGU atamponya! Hicho ni kiburi, ukimuomba gari atakuambia Fanya kazi. Ukiomba MUNGU akushushie gunia la mchele na unanguvu za kulima na shamba unalo mchele ukashushwa basi kimbia huyo si yeye.....
 
Kuna ndugu yangu halioji kanisani kwao namna zinavotumika zile sadaka zinavotumika wakamuita mpinga Christ, hahahaha...
Aligusa mradi wa mtu, ukitaka kuwa na amani katika utoaji zaka na sadaka jiambie tu najiwekea akiba mbinguni ,over
Usihoji zinatumikaje !
 
Usiseme wakristo, sema binadamu maana sio wote waliojazana kwa manabii na watenda miujiza wote ni wakristo.
Pili hio haijaanza leo bali ipo toka enzi za yesu watu walimfata sio ili wajifunze kumjua Mungu bali ili kupata msosi wa bure.
Yesu akawajibu, “Kweli nawaambieni, mnanitafuta si kwa kuwa mmeona ishara, bali kwa sababu mlikula ile mikate mkashiba" Yohana 6:26
 
Wakristo=wafuasi wa YESU
Manabii na mitume wanasema ni wafuasi wa YESU , ukiwaita binadamu , Kuna binadamu watawakataa kwamba Hawa wapenda MIUJIZA wasiitwe binadamu🤔
 
Wakristo=wafuasi wa YESU
Manabii na mitume wanasema ni wafuasi wa YESU , ukiwaita binadamu , Kuna binadamu watawakataa kwamba Hawa wapenda MIUJIZA wasitwe binadamu🤔
Una uhakika gani kuwa manabii na mitume wote ni wafuasi wa Yesu?
Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni. Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu" mathayo 7: 21-23
 
Ndugu chunguza maandiko vizuri YESU hakuacha kanisa, soma historia ya dhehebu Hilo unalolisema kuwa chini ya Petro🫢
Yesu aliacha kanisa. Na hicho kitabu ni mapokeo ya kanisa hilo. Madhehebu ni sababu ya viburi na ujuaji. Kanisa katoliki ndio ukristo. Sio dhehebu.
 
Ndugu chunguza maandiko vizuri YESU hakuacha kanisa, soma historia ya dhehebu Hilo unalolisema kuwa chini ya Petro🫢
Mathayi 16:18 "Nami nakuambia: Wewe ni Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala nguvu za kifo hazitaweza kulishinda..." Unadhani hapa alikuwa anaongea anatania ama? Nyie wakristo koko acheni ujuaji. Shetani ni mjuaji na mwenye kibri. Nyie ni zao lake.
 
😜 😜 Wakristo Koko!, hata usiogope, sizungumzii dini ya mtu ninachosema Jenga mazoea ya kusoma maandiko, huwezi kusoma mstari mmoja wa biblia na kuhitimisha! "Juu ya mwamba huu yaani YESU" YESU ndie mwamba, jina Petro/kefa ni Greek name maana yake kajiwe...
Kwa ufupi YESU ni Myahudi , alipozaliwa alikuta madhehebu mengi kama vile masadukayo, mafarisayo........

Alipoanza kazi Yake hakuanzisha kanisa mpya badala yake alikuwa akiwafundisha katika masinagogi hizohizo.....
Alipokufa aliacha injili Kwa mitume yaani hao Petro , hapo wakaanza kujiita kanisa la mitume....

Baada ya mitume kufa kanisa likaachwa Kwa wazee, likaitwa kanisa la wazee na mitume.......
Jina wakristo lilianzishwa Kwa utani yaani wafuasi wa YESU....
Baadae yakalipuka madhehebu kibao ........
Swala la kwamba dhehebu gani ni sahihi mimi sizungumzii ninachosema ifike mahala usome maandika usidanganywe kirahisi.
 
Yesu aliacha kanisa. Na hicho kitabu ni mapokeo ya kanisa hilo. Madhehebu ni sababu ya viburi na ujuaji. Kanisa katoliki ndio ukristo. Sio dhehebu.
Sawa
 
Fa Facts , kwangu Mimi siamini nabii yeyote au mtume, .....
 
Shida watu wametekwa na madhehebu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…