Wakristo nunueni vitabu vya waislamu msome

Ujinga gani ulioubeba kutoka huyu ***** kilaza, huu usenge wa kujitungia anao uuchapisha uonekana ni kweli
kila akileta upupu nikitokezea anakimbia
Kuna vitu huwa anaongezea nadhani katika kunogesha tu. Ila mm huwa pia nafanya respiration ya nukuu zake believe me asilimia 80 zipo sawa kutoka either kwenye Hadith au mistari ya Quran.

Nomewagalagaza makobaz wengi sana kutokana na kumfatilia hamis77
 
Waislamu na kunyanduana πŸ™Œ
 
Kwahiyo peponi Kobaz watakuwa wanalombana kwa miaka 80 bila kumwaga. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

tena kitu mnato. Kinabana kabisa astagafurirah.

Bro Mbaga Jr usijal kuhusu kibamia. Kuuuma za pepon ziko taiti.
N mwendo wa kunyanduana tuu mana nguvu zipo πŸ”₯
 


View: https://www.instagram.com/reel/DXbDAv3kU8o/?igsh=MW1nZHl6eG45bDl3ZQ==
 
Waislamu na kunyanduana πŸ™Œ
Wazungu walitukuta tuna himaya zetu, kina Mangi Meza, Mangi Meli, Chifu Mkwawa , Mtemi wa watemi Mirambo,na hawa wote walikuwa na wake zaidi ya kumi labda.
Nyinyi mmliupokea huu ugalatia na leo mnajifanya waislamu wanapenda mbususu kwa kuwa wanaruhusiwa kuoa wake wengi,
Huu ugalatia umeleta sasa ushoga kwa wanaume kuogopa na kuona wakioa hawaruhusiwi kuachana au kuoa mke wa pili
 
Nani kakuambia Wagalatia Hakuna Kuachana?
 
Ujinga gani ulioubeba kutoka huyu ***** kilaza, huu usenge wa kujitungia anao uuchapisha uonekana ni kweli
kila akileta upupu nikitokezea anakimbia
Wewe umejaa matusi nenda kwa hoja Acha lugha chafu
 
hamis77 hapo unataka kuwapoteza Wakristo:
Unatuhamasishaje kusoma vitabu vya Majini?
Ukisoma vitabu vya majini kama Qurani utajitumbukiza kwenye Uchawi wa Kiislamu na kutoka ni ngumu sana:
Au umesahau hili Andiko la Roho Mtakatifu?

Wagaratia 1:6
Nastaajabu kwa kuwa mnamwacha upesi hivi yeye aliyewaita katika neema ya Kristo, na kugeukia injili ya namna nyingine.
Wagalatia 1:7
Wala si nyingine; lakini wapo watu wawataabishao na kutaka kuigeuza injili ya Kristo.
Wagalatia
1:8Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri, na alaaniwe.
Wagalatia 1:9 Kama tulivyotangulia kusema, na sasa, nasema tena, mtu awaye yote akiwahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo mliyoipokea, na alaaniwe.
{ Mimi naweza kuvisoma kwakuwa Niko imara katika ulimwengu wa Roho: ila Wakristo wengi ni dhaifu Kiroho}
Hapo ni kama unasema tusome vitabu vya kichawi na kuiwacha Biblia Takatifu:.
Hapo unataka tuwe wachawi badala ya kuwa Wana wa Mungu Mwenyezi:
Sijui kama umenipata
 


View: https://youtube.com/shorts/Qat5rSKx7F0?si=H9oWw-I1X6DI6Nty
 
Hana chochote mbona ananikimbia kila nikimjibu ??
 


Hakuna Mwislamu anayeogopa mjadala wa hoja. Lakini hoja hujengwa kwa kunukuu maandiko kwa usahihi na katika muktadha wake, si kwa kutupiana picha na matusi.

Kwanza, ukiona tafsiri au hadithi ambayo huielewi, inapaswa kusomwa katika muktadha wake wote. Vivyo hivyo kwa Biblia. Ningeweza kuchukua aya kama hizi:

"Binti za Lutu wakamlaza baba yao..." (Mwanzo 19:30-36)
au

"Daudi akachukua wake wengi..."(2 Samweli 5:13)
au

"Sulemani alikuwa na wake mia saba..."(1 Wafalme 11:3)
Nikiziweka peke yake kwenye picha, je, hiyo inathibitisha Biblia ni "takataka"? Hapana. Inahitaji maelezo ya muktadha.

Pili, kuhusu ushoga, Waislamu na Wakristo wa jadi wote wanakubaliana kuwa mahusiano ya jinsia moja hayakuruhusiwi kidini. Hilo si jambo linalotenganisha Uislamu na Ukristo.

Tatu, kama mtu anasema "vitabu vya Waislamu vimejaa takataka", basi huo si mjadala wa kielimu bali ni matusi. Biblia yenyewe inasema:

"Mpole awafundishe wale washindanao." (2 Timotheo 2:25)
na

"Mwe tayari kumjibu kila mtu kwa upole na hofu." (1 Petro 3:15)
Kwa hiyo kama lengo ni kutafuta ukweli, leteni andiko moja moja lijadiliwe kwa muktadha wake. Lakini kusema "kitabu fulani ni takataka" si hoja; ni hasira.

Hoja hujibiwa kwa hoja, si kwa kejeli.
 
Nimeona hapo kuna mstar unasema "makebo ya wanawake wa Dausi".
Na mwingine "Mtume akamuweka kitambaa mke wake na kumuingia katika jagina"

Kumbe makebo na Jagina ni misamiati ya zaman. Nilikuwa sijui.
😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…