mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Mfumo wa kuhubiri Sokoni huku watu wanaendelea na shughuli zao siuungi mkono.
Ilitakiwa twende Sokoni kufanya Biashara kwa viwango vya juu ya kiroho ili tuwabadikishe wasioamini.
Injili ingekuwa rahisi Sana.
Ukisikia Paulo kaenda Sokoni au getini. Kumbuka alikuwa Ni mfanyabiashara pia. Alikuwa anauza vikapu, au mahema na wezake wakina Akila na Pricilla.
Wakati anaingiza pesa anachapa na neno. Ila neno lake lilikuwa Kali Sana Hadi anatandikwa makofi na kuchapwa bakora na wakuu wa soko.
Walipoona anapoints walimtoa Sokoni na kwenda pembeni kwenye ulingo wa hoja ili mabishano yao yasiathili Biashara Sokoni. Mfano Matendo 17 kule ugiriki athene.
Hii ya spika na bakuli la Sadaka sio sahihi. Ilitakiwa mtumishi awe na kabiashara kwa pembeni ili watu wajifunze kwa vitendo namna ya kuhudumia Biashara bila ujanjaujanja.
Kimsingi Ni rahisi kumbadili mtu kwa maisha unayoyaishi na maneno kidogo kuliko kuvizia watu usiowajua na kuwasumbua kazini.
Nini mtazamo wako.