Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Ni sahihi kwa Mkristo kuipinga, kuibagaza, kuilaani na kushambulia taifa teule la Israel wakati Biblia imejaa maandiko tele yanayoonyesha Israel ni taifa teule ambalo ukilibariki na wewe utabarikiwa ?
Mkristo kuilaani Israel sio kwenda kinyume na maandiko yanayomuongoza pamoja na viongozi wake wa kiroho?
Mkristo kuilaani Israel sio kwenda kinyume na maandiko yanayomuongoza pamoja na viongozi wake wa kiroho?