Wakristo wengi wako kwenye mfungo ilhali Kwaresma bado, ni jambo jema sana!

Wakristo wengi wako kwenye mfungo ilhali Kwaresma bado, ni jambo jema sana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mungu uwajalie Watumishi wako wanaokesha na kuomba kwa ajili ya Taifa Hili

Naelewa KKKT kimara kuna mfungo unaendelea

BCIC kwa Askofu Gamanywa kuna mfungo wa siku 70 unaendelea

Kwa Mtume Mwamposa kadhalika kuna mfungo unaendelea

Na katika makanisa mbalimbali ambayo sijayataja

Basi ninaomba Baraka za Mungu wa mbinguni zitembee pamoja nanyi, amen!
 
Maombi ni muhimu.

Even myself niko kwenye kukaribia kuanza kufunga
 
Huku WRM Matembele ya pili Kitunda,Kivuule tunaendelea na mfungo mpaka sasa.
 
Back
Top Bottom