Wakristu waendelea kuchinjwa huko Nigeria

Hakuna serikali huko?
 
Ipakwe matope nanan mbona haijawai kutokea wasabato wakatumika kuua, kwanin itumike dini yenu tu aya zakuuana zipo sana hao kabla yakuua lazima wametamka takbiiiil nasio bwana yesu asifiwe
 

[ AT-TAWBA - 29 ]
Piganeni na
1: wasio muamini Mwenyezi Mungu
2: wala Siku ya Mwisho,
3: wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume,
4: wala hawashiki Dini ya Haki,
5: miongoni mwa walio pewa Kitabu,
6: mpaka watoe kodi kwa khiari yao,
7: hali wamet'ii.

Hapo mla Nguruwe atapona kweli akidakwa na itikadi kali?
No. 3
 
Bwana Nigeria kaskazini kuna upuuzi mwingi sana unaohusiana na dini ya kiislamu. Weka kando kabsa mambo ya siasa na uchumi....kule hata ukionekana unakula mwezi wa Ramadhan unauwawa....! Hayo maupumbavu yanayofanywa na Taleban kuna wapuuzi huko Nigeria na ukanda wa Sahel Mali na Niger wanataka waya apply huku Africa
 
Quran 2:191

QURAN 2: 190-193

190.Na piganeni katika Njia ya Mwenyezi Mungu na wale wanao kupigeni, wala msianze uadui. Kwani Mwenyezi Mungu hawapendi waanzao uadui.

191. Na wauweni popote muwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni huko basi nanyi pia wapigeni. Na hivi ndivyo yalivyo malipo ya makafiri.

192. Lakini wakiacha basi Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.

193. Na piganeni nao mpaka pasiwepo fitina, na Dini iwe ya Mwenyezi Mungu tu. Na kama wakiacha basi usiweko uadui ila kwa wenye kudhulumu.
.............................................................................

Haya hebu nionyeshe hiyo sehemu inayosema muuwe wakristo na mayahudi. Umeona hata aibu kuiweka hiyo aya hapo. Nyie mnaosema usilamu umeamrisha kuuwa makafiri haya aya hizo hapo. Hakuna kuua au kuanzisha vita isipokuwa kama wao wakianzisha. Na kama wakiacha kuwapiga waislamu Mwenyezi Mungu kasema na waislamu waache wasiendeleze uadui.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…