Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Hatari sana na hii mitandao ndio wamejaza ushawishi huko na bado kwa watoto wanawashambulia kuanzia mashuleni na majumbani katuni nyingi zinahamasisha ushogaHayo mambo yapo Worldwide kwasasa
Nahisi kuna Wanaume wenzetu wamepata matatizo ya akili Kwa kuhisi mgongo ni mtamu kuliko kei
Kwasasa ukipata mtoto wa kiume, uanze mapema kumfundisha atambue uanamme wakeHatari sana na hii mitandao ndio wamejaza ushawishi huko na bado kwa watoto wanawashambulia kuanzia mashuleni na majumbani katuni nyingi zinahamasisha ushoga
Dini zimeleta ustaarabu huku kwetuMhm binafsi naonaga hata hizi dini wamatumbi tu ndio wako serious nazo , huko urabuni watu wanafumuana , kulashisha na vocain kama hawana akili nzuri , dini ndio zimetuharibu wamatumbi
Miaka hii dini ndio imepamba moto wachungaji na mashek kutia vitoto na wake zawatu kawaida , maadili ya kiafrica kabla ya dini yalikua na unafuu mkubwaDini zimeleta ustaarabu huku kwetu
Binafsi nimekulia kwenye hizo Imani, ikapelekea hadi kuchelewa kuanza kuzijua kei. Lakini pia imenijenga sana kiimani ukiachana na haya tunayoandika humu
Sio kama miaka hii, mtoto wa darasa la nne unakuta ameshaanza kutiana huko Mtaani
Mithali 22:6Miaka hii dini ndio imepamba moto wachungaji na mashek kutia vitoto na wake zawatu kawaida , maadili ya kiafrica kabla ya dini yalikua na unafuu mkubwa
Mimi pia ni wazami babu , ila maadili ya kiafrika yapo vizuri mnoMithali 22:6
"Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee"
Anza kumjenga katika Umri mdogo, nina imani atakuwa kwa kimo na umri katika huo msingi
Sisi wengine tumelelewa hivyo, tumekuja kuanza mahusiano tupo Chuo Kikuu, ambapo tayari nilishakuwa mtu mzima wa kujua baya na zuri
Si unajua sisi tuliosoma zamani, enzi za kuanza Shule ukigusa masikio
Unaanza Chuo Kikuu na 25plus
Hongera kama ulipitia njia zetuMimi pia ni wazami babu , ila maadili ya kiafrika yapo vizuri mno
Hi ya kuoa mapema mimi nilichemka , bora hata ningekaa mpaka 30😅Hongera kama ulipitia njia zetu
Of course maadili ya zamani yalikuwa mazuri mno kwenye malezi ya watoto
Imagine mtoto wa kike analelewa akijua kwamba anaandaliwa kuwa Mama
Wakati sisi wa kiume ilikuwa tunalelewa Kwa kujua tunaenda kuwa Baba wa familia
Ndiyo maana ilikuwa ni kawaida Kijana wa kiume wa miaka 1972 kuanza kujijengea nyumba yake ya Kulala ya Chumba kimoja ama Chumba na sebule akiwa na miaka 15 ama 17
Unakuta nyumba yake ya tope huku ameezeka zake Majani
Ukifika miaka 21 tayari umeoa
Hiyo ni nzuri, unapata watoto wako ukiwa Kijana na mwenye nguvuHi ya kuoa mapema mimi nilichemka , bora hata ningekaa mpaka 30😅