Msabaha lk
Member
- Apr 21, 2012
- 84
- 21
Ikifanyika hivyo na Mabibo Hostel wenye nyumba mtaani watafanya biashara sana. Hivi kuna mtu hasa kwenye Block za Wanaume C, D na E ambaya hajambeba mtu?
Ni kujiendekeza tu kuna tofauti gani ya Mwanafunzi wa SUA na wa UDSM? Wote si ni watoto wa wakulima walifaulu mitihani ya kidato cha 6? Mimi nilikuwa choka mbaya sana, mwaka wa kwanza nilimbeba ndugu yangu mwaka wa pili nilitafuta chumba mtaani nikanunu kitanda cha 5/6 nikanunua godoro na TV ya Laki na nusu na kuanza zangu maisha.Hapo nilikuwa na wadogo zangu wanasoma Private sekondari na mimi ndio nawalipia, boom ilikuwa shilingi 2500/= kwa siku, stationary laki na 20 na book allowance 60,000/=. Nilijibana na hatimaye leo naweza kukabiliana na changamoto za hapa mjini licha ya tu jisenti hutu twa serikali ya JK....Watu wajifunze namna ya kupambana na maisha hawajaanza wao kuishi mabibohawawezi wakafanya hvo asee,hata wao wanaelewa,most of students wa hapa ni choka mbaya sa ukiwaambia waende wakapange mtaani ni kuwatafutia matatzo tu..nina uhakika kila mtu aliyeko mabibo kabeba mtu.
Ni kujiendekeza tu kuna tofauti gani ya Mwanafunzi wa SUA na wa UDSM? Wote si ni watoto wa wakulima walifaulu mitihani ya kidato cha 6? Mimi nilikuwa choka mbaya sana, mwaka wa kwanza nilimbeba ndugu yangu mwaka wa pili nilitafuta chumba mtaani nikanunu kitanda cha 5/6 nikanunua godoro na TV ya Laki na nusu na kuanza zangu maisha.Hapo nilikuwa na wadogo zangu wanasoma Private sekondari na mimi ndio nawalipia, boom ilikuwa shilingi 2500/= kwa siku, stationary laki na 20 na book allowance 60,000/=. Nilijibana na hatimaye leo naweza kukabiliana na changamoto za hapa mjini licha ya tu jisenti hutu twa serikali ya JK....Watu wajifunze namna ya kupambana na maisha hawajaanza wao kuishi mabibo