Wakubwa hawa wamemeza chura gani mbona mabaka yashamiri usoni?

Wakubwa hawa wamemeza chura gani mbona mabaka yashamiri usoni?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Siku hizi idadi ya viongozi wenye neema tele utaona wanashahibiana kwa mabaka usoni na kuongelea puani ni vyura gani wenzetu wamemeza?
 
Siku hizi idadi ya viongozi wenye neema tele utaona wanashahibiana kwa mabaka usoni na kuongelea puani ni vyura gani wenzetu wamemeza?
:A S wink:
sijakuelewa broda!
Au umetumia tamathali za semi!😡
 
mi sijaelewa kitu,nilivyoingia nilizani nitakutana na picha ikionyesha wakiwa na hayo mabaka.
 
Wachache sana tutaelewa hii,
hint: Think of Mkulu and Mzee wa Kilaracha.... :dance: Wanashabihiana kwa nini? wakati huu?
 
Back
Top Bottom