Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Oct 13, 2010 #1 Siku hizi idadi ya viongozi wenye neema tele utaona wanashahibiana kwa mabaka usoni na kuongelea puani ni vyura gani wenzetu wamemeza?
Siku hizi idadi ya viongozi wenye neema tele utaona wanashahibiana kwa mabaka usoni na kuongelea puani ni vyura gani wenzetu wamemeza?
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,199 Reaction score 8,761 Oct 13, 2010 #2 Rutashubanyuma said: Siku hizi idadi ya viongozi wenye neema tele utaona wanashahibiana kwa mabaka usoni na kuongelea puani ni vyura gani wenzetu wamemeza? Click to expand... :A S wink: sijakuelewa broda! Au umetumia tamathali za semi!😡
Rutashubanyuma said: Siku hizi idadi ya viongozi wenye neema tele utaona wanashahibiana kwa mabaka usoni na kuongelea puani ni vyura gani wenzetu wamemeza? Click to expand... :A S wink: sijakuelewa broda! Au umetumia tamathali za semi!😡
Q queenkami JF-Expert Member Joined Feb 8, 2010 Posts 1,694 Reaction score 1,249 Oct 13, 2010 #3 mi sijaelewa kitu,nilivyoingia nilizani nitakutana na picha ikionyesha wakiwa na hayo mabaka.
Deodat JF-Expert Member Joined Sep 18, 2008 Posts 1,274 Reaction score 274 Oct 14, 2010 #4 Rutashubanyuma said: Siku hizi idadi ya viongozi wenye neema tele utaona wanashahibiana kwa mabaka usoni na kuongelea puani ni vyura gani wenzetu wamemeza? Click to expand... Mbona swali lenyewe tu ni fumbo?
Rutashubanyuma said: Siku hizi idadi ya viongozi wenye neema tele utaona wanashahibiana kwa mabaka usoni na kuongelea puani ni vyura gani wenzetu wamemeza? Click to expand... Mbona swali lenyewe tu ni fumbo?
KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,794 Reaction score 9,075 Oct 14, 2010 #5 queenkami said: mi sijaelewa kitu,nilivyoingia nilizani nitakutana na picha ikionyesha wakiwa na hayo mabaka. Click to expand... Nikupe namba ya Makii Hassan??
queenkami said: mi sijaelewa kitu,nilivyoingia nilizani nitakutana na picha ikionyesha wakiwa na hayo mabaka. Click to expand... Nikupe namba ya Makii Hassan??
Kiraka JF-Expert Member Joined Feb 1, 2010 Posts 4,285 Reaction score 4,074 Oct 14, 2010 #6 Wachache sana tutaelewa hii, hint: Think of Mkulu and Mzee wa Kilaracha.... :dance: Wanashabihiana kwa nini? wakati huu?
Wachache sana tutaelewa hii, hint: Think of Mkulu and Mzee wa Kilaracha.... :dance: Wanashabihiana kwa nini? wakati huu?