BabaMorgan JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 5,197 Reaction score 14,380 Mar 2, 2023 #1 Wakubwa mimi BabaMorgan bado ni mdogo kiumri na kifkra naomba kujuzwa na ninyi wakubwa zangu, imekaaje kumtafutia mke wako dereva wa kumuendesha, tena kwenye gari ambayo ni full tinted? Kwa mtazamo wangu ni kuyatafuta matatizo.
Wakubwa mimi BabaMorgan bado ni mdogo kiumri na kifkra naomba kujuzwa na ninyi wakubwa zangu, imekaaje kumtafutia mke wako dereva wa kumuendesha, tena kwenye gari ambayo ni full tinted? Kwa mtazamo wangu ni kuyatafuta matatizo.
T Tui JF-Expert Member Joined Jun 2, 2018 Posts 5,779 Reaction score 7,771 Mar 4, 2023 #2 Unamkabidhi fisi bucha kwa kumpa ufunguo au unamnunulia mvuvi zana za kuvua.