Wakubwa naomba msaada, ile taa inayoonesha kuwa mafuta yamekaribia kuisha haiwaki tena

Wakubwa naomba msaada, ile taa inayoonesha kuwa mafuta yamekaribia kuisha haiwaki tena

Ndani ya tank huwa kuna sensor ambayo hu_detect mafuta yatapokuwa low kisha hupeleka hiyo taarifa kwenye taa iliyopo kwenye dashboard.

Sasa hapo huenda sensor ina inatatizo au waya umekatika au fuse imekata (kama ipo) au taa ya kwenye dashboard imeungua.
Asante sana mkuu
 
Labda kama sijakuelewa,kama taa haiwaki kwanini usicheze na geji mpaka utakapokuta kituo cha mafuta?hiyo taa pia inaweza kuwa imeungua au iko lose kwahiyo imedondokea kwa ndani...
 
Back
Top Bottom