Wakubwa naomba msaada, ile taa inayoonesha kuwa mafuta yamekaribia kuisha haiwaki tena

Asante sana mkuu
 
Labda kama sijakuelewa,kama taa haiwaki kwanini usicheze na geji mpaka utakapokuta kituo cha mafuta?hiyo taa pia inaweza kuwa imeungua au iko lose kwahiyo imedondokea kwa ndani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…