wakubwa napiga hodi kwenu mnipokee mwanenu.

anania

Member
Joined
Jul 2, 2010
Posts
83
Reaction score
8
Nimefurahishwa na maada zinazo jadiliwa na nimeshindwa kujizuia kujiunga kwenu wakubwa kwani kuna mambo mengine yamefichwa wanao weza kuona ni member tu.Mpo juu wakubwa wote kwa ujumla
 
karibu sana, jisikie uko nyumbani,
busara, hekima na uvumilivu,
viwe msaada kwako, ili ujenge utu, na
mahusiano mazuri na jamii husika,
nimefurahi kupata, mgeni, karibu sana
 
unakaribishwa.............soma sheria kwanza
 
Karibu kaka jisikie upo nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…