Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Next time ukiwa unatoa malalamiko ya kukatika kwa umeme/maji ni vyema ukawa specific kuwa ni eneo gani umeme umekatika.Kila kukiwa na mechi nzuri lazima umeme ukate nusu saa kabla ya mechi au nusu saa baada ya mechi. Huu ni uhujumu uchumi.
Tf wanakata umeme sahz wakati game ndo inaanza second half.