Acehood JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 1,653 Reaction score 2,792 May 17, 2023 #1 Kila kukiwa na mechi nzuri lazima umeme ukate nusu saa kabla ya mechi au nusu saa baada ya mechi. Huu ni uhujumu uchumi. Tf wanakata umeme sahz wakati game ndo inaanza second half.
Kila kukiwa na mechi nzuri lazima umeme ukate nusu saa kabla ya mechi au nusu saa baada ya mechi. Huu ni uhujumu uchumi. Tf wanakata umeme sahz wakati game ndo inaanza second half.
Notorious thug JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 2,817 Reaction score 10,667 May 17, 2023 #2
Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 May 18, 2023 #3 Acehood said: Kila kukiwa na mechi nzuri lazima umeme ukate nusu saa kabla ya mechi au nusu saa baada ya mechi. Huu ni uhujumu uchumi. Tf wanakata umeme sahz wakati game ndo inaanza second half. Click to expand... Next time ukiwa unatoa malalamiko ya kukatika kwa umeme/maji ni vyema ukawa specific kuwa ni eneo gani umeme umekatika.
Acehood said: Kila kukiwa na mechi nzuri lazima umeme ukate nusu saa kabla ya mechi au nusu saa baada ya mechi. Huu ni uhujumu uchumi. Tf wanakata umeme sahz wakati game ndo inaanza second half. Click to expand... Next time ukiwa unatoa malalamiko ya kukatika kwa umeme/maji ni vyema ukawa specific kuwa ni eneo gani umeme umekatika.