Wakubwa wanafaidi mema ya dunia

Condoms ikitumika vizuri, hasa hizi za kiafrika, huzuia ukimwi kwa asimilia 65%

Kapime haraka, nyoko kabisa
Kuna magonjwa ya figo, ini , saratani, korona.... hayo huyaogopi?
 
Mmh!!muhimu uhai
 
Kamera zipo, pia badhi ya hotel hawataki kuingilia faragha za watu ili wasipoteze wateja
Faragha moja wapo, hotelini mtu hawezi kuja chumbani kwako bila reception kukupa taarifa. Hata kama unaongea nae kwenye simu. Lazma utoe taarifa
 
😂😂😂Ni kweli wako au ulisimulia na wa majirani
Sasa usipozaa, haya mapori yatajengwa na wakina nani? watu kwa sasa wanazaa watoto 2 au 1; wengine wanaume wanajigeuza wanawake. Tusipozaa sisi mapori yatazidi idadi ya watu
 
Faragha moja wapo, hotelini mtu hawezi kuja chumbani kwako bila reception kukupa taarifa. Hata kama unaongea nae kwenye simu. Lazma utoe taarifa
Huwa wana monitor mpaka kwenye coldor, inawezekana pia hata kwenye vyumba kuna kamera ndogo, ili kuhakikisha usalama wa watu wao.
 
Kama ni mwajuma ndala ndefu, utaongelea wapi
Kwa taarifa yako wanawake warwmbo kupitiliza hajajaliwa mashine nzuri.
Huniambii kitu mkuu...wewe bado mtoto sana kwenye hizi game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…