Wakubwa wanaofuata kuaga mashindano baada ya Germany na Belgium ni Spain na Argentina kwa hatua ijayo

Wakubwa wanaofuata kuaga mashindano baada ya Germany na Belgium ni Spain na Argentina kwa hatua ijayo

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Argentina hatua ya 16 Bora itamuwia ngumu mno kwakuwa hadi hapa walipofika ni kwa bahati bahati tu!

Spain yupo na mkusini wake Morocco, siku ambayo watu watazikimbia mikeka yao hapa.

Sina kipaji cha kumuelezea mtu aelewe maono yetu tuliyojaliwa kuyaangalia mambo kwa nguvu ya ziada!

Nitafufua kauzi haka mmoja akitolewa.

Britanicca
 
Muda ni mwamuzi wa kila kitu.....ni dakika 90 zitamaliza utata wote
 
Argentina kwa vile ameongoza kundi basi kakutana na kilaza wa pili kweny kundi jingine.

Ila Spain ndo kakutana na kiongozi ngoja tuone.
 
Siku hizi Bongo kila mtu ana maono,kila mtu mtabiri! Cha ajabu wanatabiri mambo wasio yajua ila maisha yao wao wenyewe hawawezi kujitabiria!

Eti Argentina kapita kibahati bahati! Unaweza kukuta mleta mada wala hatizami mechi.
Au anaangalizia TBC leo mechi waonyeshe kesho wasionyeshe basi tabu tupu😅
 
Back
Top Bottom