britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
USA wakiwa na mood kama mechi na Iran, 🇳🇱 hawatoboiAustrali vs Argentine >Argentine anapita
England vs SENEGAL >Senegal anapita
Poland vs France >france
USA vs Netherland >USA out
Safari yao imefika mwisho sioni namna watakavyosalimika.USA wakiwa na mood kama mechi na Iran, 🇳🇱 hawatoboi
Nether ni finalist mtarajiwa chukua hii.USA wakiwa na mood kama mechi na Iran, [emoji1179] hawatoboi
Au anaangalizia TBC leo mechi waonyeshe kesho wasionyeshe basi tabu tupu😅Siku hizi Bongo kila mtu ana maono,kila mtu mtabiri! Cha ajabu wanatabiri mambo wasio yajua ila maisha yao wao wenyewe hawawezi kujitabiria!
Eti Argentina kapita kibahati bahati! Unaweza kukuta mleta mada wala hatizami mechi.
Na bila shaka atacheza hiyo fainali na Brazil. Mwisho wa mchezo, kama kawaida; Brazil atachukua ubingwa.Nether ni finalist mtarajiwa chukua hii.