Kwani toka form 1-4 chaguo lako lilikua combination gani?.Usipende kuchaguliwa angalia uwezo wako unadondokea wapi na unapendelea nini.Kuna mtu alichaguliwa combi na baba yake PCB wakati yeye anapenda HGE.Alivyofanya mtihani wa f6 alipata 0
Waweza masomo gani? siku zote fanya unachojisikia moyoni mwako.
Kombi zote zaweza kukufanya mwanasiasa...kuna madaktari wa wanyama wanaofanya siasa,walimu,wahasibu,wachumi nk.
Any one can do politics.