ni kweli kabisa wahadhiri wanachangia hivyo wanafunzi unakuta muda mwingi wanapambana na kufaulu mitihani hata kwa mbinu chafu badala ya kuelewa masomo
Wengi wao hasa ma-professor ni wababaishaji! Wanajifanya hawana muda, na mara nyingi huwa hawamalizi syllabus. Wakiulizwa wanatoa majibu mepesi tu, kwamba upo university, no more spoon feeding.

Hiyo haitoshi, vitisho ndo usiseme. Wanafurahia sana pale idadi kubwa ya wanafunzi inaporudi kuja kufanya supplementary exams.

Nchi za wenzetu ni tofauti, lecturers wanafurahi wanapoona wanafunzi wao wameelewa kile walichofundishwa na hivyo ku-pass final exams.

Hii ni skendo kubwa mkuu Rich Dad, na ni hatari kwa maendeleo ya elimu yetu pia kwa wanafunzi wetu. Hebu naomba utubandikie majina ya hao Ma-professor/wakufunzi wa vyuo ili tuweze kufuatilia.

Naimani JF ni zaidi ya hapa kwenye kompyuta, hivyo kuna members wengine wako responsible na hizi inshu wanaweza kusaidia nakapata ufumbuzi wa hili tatizo.
Our eucation has got what we call a colonial legacy.Kuna kupeana adhabu indirectly Tz.
Kutokana na hayo mimi binafsi sikupenda soma nchini.Huku Maprof n rafiki zangu,nikiwa na shida naweza enda hadi nyumbani kwake.
Mfano:Not long ago I did my first research.Prof was ready to help to the extent I never imagined.Sikumoja nilishinda kwake nikifanya naye kazi hadi saa nane za usiku.Furaha yake ilikuwa ni kuona mwanafunzi wake anafanikiwa.
Pia sasa kuna mwanafunzi mwenzangu alifeli,Prof alimtafuta il amfundishe zaidi jamaa ajiandae na mtihani vizuri.
Changamoto:Hii fani ina watu wanaojivuna kwa kuwa ni wachache na wanabembelezwa sana.
Kuna favour kibao mfano kuingiza magari bandarini,kwenda kusoma na kulipiwa na serikali bila shida.Nafikiri serikali yetu ina nia njema lakini ukoloni bado upo mioyoni mwa wengi wao.
We can start a network of youth who are interested at lecturing.Then the same network can lead a campaign to educate these people respect ethics of their work.