Kwa uzoefu nilionao nimegundua ya kwamba wakufunzi wengi wa vyuo hapa Tanzania sio hawajawahi kusomea fani ya ualimu. Kibaya zaidi wanawafundsha wanafunzi kuwa waalimu bora.
Kwa mfano, mchumi ambaye hakuwahi kusoma kozi za elimu katika shajada anaandaa waalimu. Je huoni hilo ni tatizo?

ni kweli kabisa, achana na huyo mlopokaji OLESAIDIMU aliyeshindwa kuutumia mtandao, kuna siku hili swala tulilijadili sana na wenzangu chanzo cha mjadala ilikuwa ni .. kwanini baadhi ya maprofesa hawana qualities za kufundisha au wanashindwa kudeliver kwa mwanfunzi ukilinganisha na profiles zao
ndugu yangu unatatizo la kuelewa tofauti kati ya hizo taaluma mbili, mkufunzi na mwalimu. hizo ni taaluma zisizofanana, ni duniani kote. lakini hii haikuzuuii wewe kuleta badiliko, endeleza mawazo yako , yakifanikiwa utajichukulia umaarufu mkuu duniani kwa mchango wako mkuuKwa uzoefu nilionao nimegundua ya kwamba wakufunzi wengi wa vyuo hapa Tanzania sio hawajawahi kusomea fani ya ualimu. Kibaya zaidi wanawafundsha wanafunzi kuwa waalimu bora.
Kwa mfano, mchumi ambaye hakuwahi kusoma kozi za elimu katika shajada anaandaa waalimu. Je huoni hilo ni tatizo?
ni kweli kabisa, achana na huyo mlopokaji OLESAIDIMU aliyeshindwa kuutumia mtandao, kuna siku hili swala tulilijadili sana na wenzangu chanzo cha mjadala ilikuwa ni .. kwanini baadhi ya maprofesa hawana qualities za kufundisha au wanashindwa kudeliver kwa mwanfunzi ukilinganisha na profiles zao
Kuna vyanzo vingi sana vya maarifa ikiwamo tafiti. Pale ambapo ni nigumu tafiti kufanyika "observation" inafanyika na hivyo kutoa majibu. Nashindwa kukuelewa kwa nini unapaniki, je ikiwa kama waalimu wengi walio SUT, SUA, UDOM n.k walisoma kozi zisizo za ualimu na wanafundisha nisisema? USIWE KAMA WALE WATU AMBAO WAKISHINDWA KUTOA HOJA WANAKIMBILIA MAHAKAMANI NA KUWAZUIA WATU WASIJADILI KWA KUSEMA "TUSIJADILI HILO SUALA KWA KUWA LIPO MAHAKAMANI....
handboy - je na wewe ni miongoni wa wale watumwa wa machapisho ya watu? Hizi mbinu ndio misingi ya hizo data unazotaka. Kama unaweza ichukue kama changamoto, ukafanyie tafiti, kisha utuletee data.
Ila naamini mtizamo wangu ni sahihi.