Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Vijana bhn yaani anatoka kwao ushaagoo kule ndani ndani anakuja Masaki anashangaa zile nyumba anaona kama kafika New York city ๐๐๐ Aisee ushamba mzgo
Wanashangaa vijana wadogo wenye magari makali anasema hao ni wachawi mafreemason au hizo Gari za familia ebo!
Fanyeni kazi bhn mpate madusko ili msione Kila mtu ni mchawi .
Hakuna sorry kwa wahusika. Shieeeet!