Wakuja mnaotokea vijijini punguzeni ushamba kidogo, mnakera aisee

Zombie S2KIZZY

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2021
Posts
826
Reaction score
1,622
Vijana bhn yaani anatoka kwao ushaagoo kule ndani ndani anakuja Masaki anashangaa zile nyumba anaona kama kafika New York city πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Aisee ushamba mzgo

Wanashangaa vijana wadogo wenye magari makali anasema hao ni wachawi mafreemason au hizo Gari za familia ebo!

Fanyeni kazi bhn mpate madusko ili msione Kila mtu ni mchawi .

Hakuna sorry kwa wahusika. Shieeeet!
 
Chai
 
Ni chini ya 1% vijana wa Dar es salaam wanao miliki magari, wengi wanamiliki simu za kaida tena sio kubwa teckno tu.
 
Kwa hyo ww ni mjanja?!
 
Ni chini ya 1% vijana wa Dar es salaam wanao miliki magari, wengi wanamiliki simu za kaida tena sio kubwa teckno tu.
Washamba wanajua kumiliki iphone ni ujanja hahahaa
 
Mwandiko wa kishamba huu na we ni mmoja wao
 
Na wewe unawashangaa washangaao,
Na hapa jf tunakushangaa wewe, full mishangaano.
Mishangao haitaisha kamwe, si ajabu utaishangaa hii comment pia
 
Mkuu,

Mtu ana miaka 30 hajafika pwani, kila siku anasikia kuna bahari, akifika mjini na kukukera umpeleke baharini kila saa muelewe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…