Wakulala ibadani mpo?

Valentina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
24,684
Reaction score
28,777
HAYA NDIO MADHARA YA KULALA KANISANI
Tukiwa kanisani mdada alikuwa amelala , akaamka akasikia Pastor anasema
" SIMAMA"
Yule dada akasimama akashangaaa kanisa zima linamtizima kwa mshangao akiwemo mumewe, akaangalia kanisa zima akashtuka kujiona yeye peke yake ndiye aliesimama
Pastor akaendelea vizur endelea kusimama, tumepata mmoja hadi sasa aliyesimama narudia kwa mara ya mwisho kama hujasikia vizuri
" kama wew umewahi kumsaliti au bado unasaliti ndoa yako SIMAMA"
Binti akazimia
 
[emoji13] [emoji13] nilijua ataambiwa na huyu ndio amefanikiwa kununua kuku huyu kwa shs 800,000
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€...nacheka utafikiri mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…