Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Wakulima wa mahindi Kanda ya Kaskazini ambapo ni pamoja na Kilimanjaro, Arusha, na Kilindi katika mkoa wa Tanga, wapo hatarini kupata hasara katika kilimo cha mahindi kutokana na kile wanachodai mvua kukatika mapema.
Wakulima hao wengi hawajui cha Kufanya hadi sasa kutokana na kuwa waliwekeza nguvu nyingi katika kilimo msimu huu wakitarajia mvua zitaendelea kunyesha Kwa muda mrefu , lakini hali imekuwa ni tofauti kabisa na walichokuwa wakitegemea.