Wakulima Kilimanjaro/Arusha...

Namimi pia niunge please nipo arusha nalima matikiti maji
 
Wakulima wote kimanjaro &Arusha mni pm ni admin, tunalo group dogo limetokana na group kubwa la wakulima aliloanzisha seth wa insta Ali maarufu kama bikira wa kisukuma
khaaa kumbe mlituacha mkajitenga[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,haya niadd namie kwa seth kumedoda
 
Habari wana JF. Huu uzi uliishia wapi?.. hilo group la kilimo lipo?

Nimehamia Kilimanjaro nna mwezi wa 2 sasa nataka niangalie fursa za kilimo, naomba mniadd pia 0767102893
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…