Greetings,
I often hear how difficult is for Farmers in Tanzania, but what exactly are the really challenges that Farmers are encountering?
Where main problems that they are struggling with?
What could Tanzanians do to somehow contribute and support each other with mutual benefit and to improve the economy system? From Farmers, supply chain, to the end consumers?
I would like to hear views.
Thanks and good day.
----------------------------------------------------------------------------------
Salamu,
Mara nyingi husikia jinsi Wakulima wanyopata ugumu Tanzania na matokeo yake ina zorotesha maelendeleo.
Lakini nini hasa kinacho wakabili Wakulima?
Ni changamoto zipi wanazo kutana na kupambana nazo?
Je Watanzania wanawezaje kusaidiana kwa namna yoyote katika kuchangia na kuboresha uchumi na kwa faida ya wote? Kuanzia Wakulima, usambazaji, mpaka watumiaji wa mwisho?
Ningependa kuelewa zaidi and kusikia maoni yenu.
Asanteni sana na nawatakia siku njema.