Wakulima na mnaolima tupeane michongo mjini kugumu

Wakulima na mnaolima tupeane michongo mjini kugumu

nimulikie

Senior Member
Joined
Feb 1, 2020
Posts
133
Reaction score
176
Napenda kujifunza kutoka kwa wanaofanya kilimo cha umwagiliaji. Kama kujua gharama za kukodi mshamba. Njia rahisi za kufanya umwagiliaji na vyote vinavyohusiana na kilimo.
 
Naependa kujifunza kutoka kwa wanaofanya kilimo cha umwagiliaji. Kama kujua gharama za kukodi mshamba. Njia rahisi za kufanya umwagiliaji na vyote vinavyo usiana na kilimo
Umesemema vitu vinavyohusian a kilimo lakini sekta ya kilimo ni kubwa wewe unataka kujifunza kuhusu kilimo kinachohusiana na nini?
 
Kilimo cha umwagiliaji Sana Sana vitunguu. Au Ufugaji na iwe mbuzi
 
Mashoga wamesababisha mvua hazinyeshi siku hizi so kilimo ni sawa na kutegemea kusoma upate cheti Ili upate ajira.
 
Kama umejipang vizuri kuingia kwenye kilimo na unabajet fanya kilimo cha umwagiriaji kinalipa na sio kilimo cha kubahatisha karibu mkuu shamban
 
Back
Top Bottom