ssl
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 138
- 102
Kwa kifupi sana naandika, amka mkulima, mshikane nchi nzima, mkatae kuuza mazao kwa madalali, mpange bei zenu wenyewe, tuwe na centre za kuuzia mazao yetu kikanda. tulime kwa kalenda, wanunuzi wafike kwenye masoko yetu wakute bei zetu. asiyetaka kwa bei yetu tumwambie watoto wetu na mifugo wetu watakula.