YEHODAYA JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 36,902 Reaction score 52,001 Jul 6, 2020 #1 Pikipiki ni bei rahisi kuliko trekta na inaweza tumika kulimia
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,041 Reaction score 13,907 Jul 6, 2020 #2 Ina nguvu kama trekta?
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Jul 6, 2020 #3 Wapo watu wanafanya hiyo mbona. Ila kwa mashamba ya kuaanda kilimo cha bustani. Ova
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,518 Reaction score 13,144 Jul 6, 2020 #4 Sehemu ngumu utafanya hivyo kweli?
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,425 Reaction score 5,227 Jul 6, 2020 #5 Inategemea na aina ya udongo na nini unataka kufanya.
Tukundane JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 11,993 Reaction score 9,212 Jul 6, 2020 #6 Huko siyo kulima ni kupalilia.
fundi25 JF-Expert Member Joined Apr 16, 2013 Posts 10,378 Reaction score 11,537 Jul 7, 2020 #7 Ndio maendeleo ya miaka 50
Complicator JF-Expert Member Joined Aug 23, 2013 Posts 2,198 Reaction score 3,580 Jul 7, 2020 #8 Uchumi wa kati