Wakulima tunazama kwenye dimbwi la umasikini

kasweswe

Member
Joined
Aug 25, 2018
Posts
42
Reaction score
21
Habar wanajamvini.....kwa miaka kadhaa wakulima wa zao la mahindi hasa mikoa ya nynda za juu ksini na magharib tumekua wazalishaaji wakuu wa zao hili kwa muda sasa ni zao pengine naweza sema limekua zao kuu la kuingia kipato hasa wilaya ya songea na kwingineko ...kua zao kuu ni kwamba kwa asilimia Kubwa wakazi wa mikoa hii hasa songea hutegemea zao hili kusomesha,kujenga,kulisha familia, kuboresha ustawi wa familia na mengine mengi ikiwa sambamba na kuendana na malengo ya serikali kuelekea uanzishwaji wa viwanda vidogovidogo hatimae kua na viwanda vikubwa. Hapo awali zao hili lilkua likifanya vizur kias kwamba maisha ya wakulima yanaboreshwa makazi bora yanajengwa watot wanasoma katka shule nzuri, mapato ya halimashaur yalkua yanakua ila kwasasa mambo yameku magumu sanaaaaa....sahv ni kipindi ambcho mkulima haamini macho yake aliwekeza mtaji wake shambani akisubir turn over lakin sasa anamahindi ndani ambayo hayauziki kwani bei ni ya kuelekea kwenye umasikini kabisa ....sahv kilo sh 180 kwamaana ya gunia ni sh 18,000 mpaka 20,000. Hiyo bei miaka ya nyuma ilkua ni 55,000 mpaka 60,000. Watu tunamahindi hatujui pakupeleka ...mkuu amesema mahindi ni chakula, sasa watu tunaziada (surplus) tuipeleke wapi ? Sahv ni msimu wa kuandaa mashamba na mahindi ya msimu huu hayajaauzika jamani serikali iangalie hili ni tatizo Kubwa kwa wakulima jaman, Waziri wa kilimo unatuangaliaje wakulima sisi tunaanguka mtuokoe .......Naongea kwa uchungu mahindi yako ndani hayauziki na mvua zinakaribia kuanza.....This is not Fair at all....We are all citizens and have to be equally treated like the north, the east, and the central. Mungu tuokoe.
 
Pole .mkuu.tuendelee kuvumilia nyama tutazikuta chini.sidhani kama kilimo ni kipaumbele sana kwa sasa.
 
Unatani ngapi za mahindi?
 
Pole kiongozi inauma snaaa.....hakuna mtu mbaya kama mwanasiasa...... Hakuna kitu kibaya Kama siasa kwa nchi za Afrika.....inauma sn
 
Hali mbaya sana yan watu huku waliinvest kwa gharama za juu sana lakin mazao hayauziki .......daaaaaaaah
 
Back
Top Bottom