Wakulima wa kilimo cha mahindi piteni hapa tafadhali

Miongoni mwa miradi ya serikali usikute,

Maendeleo yapo kasi sana
 
Kujazia kidgo. M mzawa wa Ruvuma. Kule kuvuna uhakika, mvua ya kutosha karibu Kila mwaka ila kulima n msimu mmoja tu. Risk ya mahindi ni bei, kuombea Bei tu iwe vizuri. Now Niko morogoro.

 
Kwanza hongera sana kiufupi unakifahamu kilimo ', Ningependa zaidi kama ungetwambia eneo husika ambalo ungeenda kufanya shuhuli husika kwani yapo maeneo hayapitiwi na vua kabisa pindi msimu unapoanza .

Pia swala la muda sio mbali sana kwa morogoro muda ni mwishoni mwa mwezi wa pili kwenda mwanzoni mwa mwezi wa tatu yakupaswa uoteshe mapema kwenye mvua za kwanza ili mbegu yako iweze kupata mvua za kutosha ili uweze kulima mavuno ya kutosha. Kwenye mbegu kwa eka ni vema ukaweka Kg 8 kwa kila eka ni wastani kabisa .

Juu ya palizi ni vema zaidi palizi yetu ya kwanza tukaifanya ndani ya wiki mbili kupita ukatoa magugu vizuri na kuhakikisha muhindi wako unaupa udongo wa kutosha ........au mwindi ukifika magotini anza palizi Mbolea nzuri ya UREA46%N hii ni mbolea nzuri au waweza kutumia booster . Kwenye madawa utatumia pindi utakapo ona shamba lako linavyoendelea
 
Safi kk pamoj vp zao engine mfano na ufuta unalima? Unipe trick zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…