DOKEZO Wakulima wa korosho wa chama cha msingi Kweli kilichopo kijiji cha Msilili wilaya ya Newala mkoani Mtwara chawafanyia hujuma

DOKEZO Wakulima wa korosho wa chama cha msingi Kweli kilichopo kijiji cha Msilili wilaya ya Newala mkoani Mtwara chawafanyia hujuma

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

jlo father

Member
Joined
Dec 11, 2024
Posts
13
Reaction score
5
Wakulima wa korosho wa chama cha msingi kweli kilichopo kijiji cha msilili wilaya ya Newala mkoani Mtwara chawafanyia hujuma.

Wakulima wa korosho kwani wakulima wamepima mazao yao mwezi wa kumi na moja lakin hadi leo hayajasafirishwa kupelekwa kwenye mnada kwa makusudi kwani wanamaslai yao hivyo

Tunaomba serikali iingilie kati kwani wakulima wanapata hasara kwan bei ya zao la korosho inazidi kushuka
 
Mtauza 550 kwa kilo , nakumbuka kuna mwaka mbaazi iliuzwa shilingi 150 na bado wateja hawakuepo
 
Yaani hawa viongozi wanazingua kinoma alafu huu mpango kuna wakubwa wanaunga mkono
 
Back
Top Bottom