Wakulima wa mapapai na mafenesi poleni Sana. Kitumbua kimemwagiwa Mchanga!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Katika hotuba ya Mhe. Rais leo anasema watu wake walipenyeza sampuli za mapapai na mafenesi katika maabara ya Vipimo vya COVID-19. Ikagundulika vina Corona.

Hali hii inaweza kuleta athari mbaya kwenye soko la mazao haya!

Nawasilisha!
 
Dah!! Jana tu nimetoka kula mapapai, acha nijiandae na mafukizo (nyungu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…