SoC03 Wakulima wa mpunga bonde la Kilombero wanufaika na bei ya mchele

SoC03 Wakulima wa mpunga bonde la Kilombero wanufaika na bei ya mchele

Stories of Change - 2023 Competition

pseudownym

New Member
Joined
Jul 4, 2023
Posts
1
Reaction score
2
IMG_20230630_135101_457.jpg


Wakulima wa mpunga bonde la kilombero wanufaika na kupanda kwa Bei ya mchele ambapo kwa Sasa Bei ya mchele imefika elfu 1800 Hadi elfu 2000 kwa kilo

Hata hivyo wakulima wamesema kuwa wanafurahi Sana kupanda kwa Bei ya mchele kwani Bei ya Sasa inautofauti na Bei ya mwanzo kwani mwanzo walikuwa wakiuza kilo elfu 1200 kiasi kwamba ili kuwa inawaumiza Sana Bei hiyo.

Wakulima hao wamesema kutokana na kuongezeka kwa Bei hiyo ya mchele basi unaweza kubadilisha maisha ya wakulima wengi katika wilaya ya mlimba mkoani morogoro.
 
Upvote 2
Back
Top Bottom