wakulima wa sua kazi ni kwako

wakulima wa sua kazi ni kwako

British economist

Senior Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
104
Reaction score
14
orientation inaendelea

yaliyojiri
wanaotaka kubadili cozi ruksa kama sio chaguo lako.

*Chuo hakina president amedisco .

*Tar 26 kuna paper la english

*jtatu tunaanza masomo

SUASO wamesema kila mwanachu
o *atapewa CONDOM

nakaribisha maswali.
 
Jiandae na wewe kudisco....
 
orientation inaendelea

yaliyojiri
wanaotaka kubadili cozi ruksa kama sio chaguo lako.

*Chuo hakina president amedisco .

*Tar 26 kuna paper la english

*jtatu tunaanza masomo

SUASO wamesema kila mwanachu
o *atapewa CONDOM

nakaribisha maswali.

aisee kachini utafakari ndo unaandika mawazo yako kweli we ni msomi? Na mashaka na wewe
 
orientation inaendelea

yaliyojiri
wanaotaka kubadili cozi ruksa kama sio chaguo lako.

*Chuo hakina president amedisco .

*Tar 26 kuna paper la english

*jtatu tunaanza masomo

SUASO wamesema kila mwanachu
o *atapewa CONDOM

nakaribisha maswali.

wewe vipi tena hiyo test ya English na AGE/iwre /BPE/ BVM WAPI NA WAPI NAOMBA MAJIBU
 
orientation inaendelea

yaliyojiri
wanaotaka kubadili cozi ruksa kama sio chaguo lako.

*Chuo hakina president amedisco .

*Tar 26 kuna paper la english

*jtatu tunaanza masomo

SUASO wamesema kila mwanachu
o *atapewa CONDOM

nakaribisha maswali.

vigezo wanavyo2mia ili kuhamia coz nyngne n vp?niweke clear
 
jiandae na wewe kudisco....

sikiliza wewe unaejiita british economist kama ndo unajiunga sua usiongelee kabisa suala la kudisco kwan sua unaweza kua na gpa kubwa lakin ukadisco..katika vyuo vyote tanzania sua ndo chuo pekee ambacho unadisco kiutani utani..rais bado suala lake linashughulikiwa..ushawah kujiuliza kwann sua hawagomagi?sua ukijifanya mjuaji unaondoka!..hivyo muache rais wetu kwan anaweza rudi chuon sasa sijui utawajibu nini wanaforum..2mwombee kwa mungu afanikiwe kurudishwa chuoni.
 
mkuu tupo pamoja sana..tumwombee najua ukweli cku zote hushinda na jamaa nauhakika atashinda...hawa maddogo hawajui mfumo upoje na ilikuwaje wao wamekuja na kuanza kuropoka
 
mkuu nimekuelewa sasa niongeze akili kidogo inakuaje mtu adisco uku ana gpa kubwa??plz maelezo mi ni 1st year
 
mkuu nimekuelewa sasa niongeze akili kidogo inakuaje mtu adisco uku ana gpa kubwa??plz maelezo mi ni 1st year

mkuu kwa SUA unaondoka pia kwa credit hour...kwahiyo lazima uwe na credit hour zisizopungua 16 ili uendelee na masomo....
 
mkuu nimekuelewa sasa niongeze akili kidogo inakuaje mtu adisco uku ana gpa kubwa??plz maelezo mi ni 1st year
Ukifika Chuo onana na kiongozi wako wa Darasa(Class representative-CR),Kwakua bado mu wagen then mwambien CR Wenu amtafute Waziri wa Elimu-SUASO Yeye atampa kitabu kinaitwa SUA- Students Guide Book(kama sijakosea au maybe kiwe kimebadirishwa jina ila ni something like that) kina maelekezo yote juu ya taratibu zote za Chuo!
 
Back
Top Bottom