British economist
Senior Member
- Jul 14, 2013
- 104
- 14
orientation inaendelea
yaliyojiri
wanaotaka kubadili cozi ruksa kama sio chaguo lako.
*Chuo hakina president amedisco .
*Tar 26 kuna paper la english
*jtatu tunaanza masomo
SUASO wamesema kila mwanachu
o *atapewa CONDOM
nakaribisha maswali.
orientation inaendelea
yaliyojiri
wanaotaka kubadili cozi ruksa kama sio chaguo lako.
*Chuo hakina president amedisco .
*Tar 26 kuna paper la english
*jtatu tunaanza masomo
SUASO wamesema kila mwanachu
o *atapewa CONDOM
nakaribisha maswali.
aisee kachini utafakari ndo unaandika mawazo yako kweli we ni msomi? Na mashaka na wewe
kwanini usiwe na imani na mimi??
orientation inaendelea
yaliyojiri
wanaotaka kubadili cozi ruksa kama sio chaguo lako.
*Chuo hakina president amedisco .
*Tar 26 kuna paper la english
*jtatu tunaanza masomo
SUASO wamesema kila mwanachu
o *atapewa CONDOM
nakaribisha maswali.
Jiandae na wewe kudisco....
orientation inaendelea
yaliyojiri
wanaotaka kubadili cozi ruksa kama sio chaguo lako.
*Chuo hakina president amedisco .
*Tar 26 kuna paper la english
*jtatu tunaanza masomo
SUASO wamesema kila mwanachu
o *atapewa CONDOM
nakaribisha maswali.
Hostel mkuu zipo sawa na karibia first year wote watapata
jiandae na wewe kudisco....
sikiliza wewe unaejiita british economist kama ndo unajiunga sua usiongelee kabisa suala la kudisco kwan sua unaweza kua na gpa kubwa lakin ukadisco..katika vyuo vyote tanzania sua ndo chuo pekee ambacho unadisco kiutani utani..rais bado suala lake linashughulikiwa..ushawah kujiuliza kwann sua hawagomagi?sua ukijifanya mjuaji unaondoka!..hivyo muache rais wetu kwan anaweza rudi chuon sasa sijui utawajibu nini wanaforum..2mwombee kwa mungu afanikiwe kurudishwa chuoni.
poa mkuu haina shidangoja niku p.m´. Mkuu´..kuna ishu tuongee
poa mkuu haina shida
mkuu nimekuelewa sasa niongeze akili kidogo inakuaje mtu adisco uku ana gpa kubwa??plz maelezo mi ni 1st year
Ukifika Chuo onana na kiongozi wako wa Darasa(Class representative-CR),Kwakua bado mu wagen then mwambien CR Wenu amtafute Waziri wa Elimu-SUASO Yeye atampa kitabu kinaitwa SUA- Students Guide Book(kama sijakosea au maybe kiwe kimebadirishwa jina ila ni something like that) kina maelekezo yote juu ya taratibu zote za Chuo!mkuu nimekuelewa sasa niongeze akili kidogo inakuaje mtu adisco uku ana gpa kubwa??plz maelezo mi ni 1st year