Geezzle JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 849 Reaction score 267 Oct 19, 2013 #21 British economist said: mkuu nimekuelewa sasa niongeze akili kidogo inakuaje mtu adisco uku ana gpa kubwa??plz maelezo mi ni 1st year Click to expand... 2tafute kaka zako 2takupa dondoo za kukwepa mishale na videsa v2 v3 2takugea!
British economist said: mkuu nimekuelewa sasa niongeze akili kidogo inakuaje mtu adisco uku ana gpa kubwa??plz maelezo mi ni 1st year Click to expand... 2tafute kaka zako 2takupa dondoo za kukwepa mishale na videsa v2 v3 2takugea!
B British economist Senior Member Joined Jul 14, 2013 Posts 104 Reaction score 14 Oct 19, 2013 Thread starter #22 msaada namna ya kukwepa unnecesary supplementary ,mapanga na marungu hapa chuoni pia tufanyeje tuweze kukwepa vishawishi cozi wanawake wanaonekana kua na ushawishi mkubwa sana hasa SMC msaada please.
msaada namna ya kukwepa unnecesary supplementary ,mapanga na marungu hapa chuoni pia tufanyeje tuweze kukwepa vishawishi cozi wanawake wanaonekana kua na ushawishi mkubwa sana hasa SMC msaada please.
G Greenphobic man Member Joined Aug 14, 2013 Posts 15 Reaction score 5 Oct 19, 2013 #23 Sawa ila usijiamin saana kwan hata wajanjajanja kama ww nao wanadisco.