Wakulima wa Tanzania rekebisheni hili

Bwenyenye254

Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
52
Reaction score
85
Huwa ninaikubali sana nchi ya Tanzania. Katika pilka pilka zangu za kudadisi taakwimu mbalimbali za kiuchumi ili kuilewa Tanzania zaidi, nilikutana na statistic ya kushangaza sana na ninaomba nichanganye na kizungu kidogo ili kujieleza vizuri.

Tanzania exports horticultural products(yaani vitu kama maua, matunda na mboga) worth $350 Million while Kenya does $1.8 Billion.

Inaweza onekana kama jambo la kawaida lakini ukizingatia yafuatayo utagundua kwamba watanzania kidogo mmelegea na hamtumii fursa zenyu kikamilifu:

1. 15% of Tanzania is arable while only 9% of Kenya is arable. Arable land ni shamba ya kilimo.

Ukizingatia kwamba Tanzania has a total landmass of 945 million sq. Km while Kenya only has 580 million utagundua kwamba Tanzania has almost three times the size of arable land that Kenya does.


2. Kenya receives an average annual rainfall of 600mm while Tanzania receives 900 mm. Hii inaweza onakena kutokuwa tofauti kubwa sana lakini on a national scale that is a huge difference.

3. Agricultural land in Kenya is more than 50 times more expensive compared to Tanzania. Ukilinganisha bei ya shamba ya ukulima yenye mvua, hapo Tanzania mnaweza mkanunua na $200 kule Morogoro wakati huku Kenya kule Nakuru ni $10,000 na kuendelea.

When it comes to semi-arid land niliona mtu hapa akiuza shamba kule Singada $30 kwa acre moja while kule Kajiado ni $4,000.

4. Both Tanzania and Kenya are strategically located with ports zenye access to Europe and Asia which makes up more than 70% of the world's middle- class kwa hivyo soko ziko tu.

5. 80% of Kenya is semi-arid while only 50% of Tanzania is.

6. Kenya exports $120 million worth avacadoes while Tanzania only does $15 million

Ninazingatia sana avocado kwa sababu in Kenya the major growing areas ni Kama Nyeri, Muranga, Nakuru, Kericho na kule shamba ni kwanzia $20,000 while nyinyi the major growing areas ni Mufindi, Njombe, Mbeya na kule acre moja ya shamba ni $100. Na tena kule mna mvua nyingi zaidi hadi 3000 mm.

There is absolutely no reason why Tanzania can't be the largest producer of avacadoes in the world.

Na kama mnavyojua in the world market avacado zina bei sana due to so much demand.


Na si Horticulture tu,hata kwa sekta ya beef Kenya exported $75 million while Tanzania only $5 million.

Yaani majirani hizo shamba mnazo za $30 haziwezi zikatumika to improve on this?

Nikiangalia landscapes za Tanzania na ukizingatia bei za shamba za beef farming, Tanzania has the same capability as South Africa. Kule hii sekta ni kubwa sana mfano Karan Feedlot located in Gauteng ina 200, 000 cattle na iliuzwa kwa $400 Million.



When I consider the potential na raslimali zenye Tanzania iko nazo, hizi taakwimu zilinishanga sana kwa nini Tanzania is underperforming in these sectors.

Your current horticultural exports is what Kenya used to do 20 years ago.

Kwenye kilimo mkulima wa Kenya akawekwa one on one verses wa Bongo, hawezi kumshinda ikikuja kwa cost of production.

Kwa hiyo, Wakulima wa Bongo mna kazi hapa.
 
Takwimu zingine bhana, hivi East Africa kuna nchi inaifikia Tanzania Kwa agriculture output.
Yaani umekaa umechagua zao moja halafu unahitimisha, Kenya si taifa linalokubwa na janga la njaa kila mara.
Wfp inaripoti mwaka 2022 idadi ya watu waliokuwa wanakmbwa na upungufu WA chakula ilifika milioni 3.
 
Kaka, upo sahihi kwa sehemu zingine ila u have introduced another topic kwa hiyo derailing maoni yangu.

Also, Horticulture si zao moja tu.

Na pia ni vyema nikitaja kwamba hii si zile dick-measuring contests za ovyo ovyo tu kwa hiyo si ushindani siwezi nikaiongelea vibaya Tanzania.
 
Umeleta post huku ukitaja eneo zima la Tanzania yaani kama vile ardhi ya Tanzania haifanyiwi kitu kwenye kilimo. Yaani unaandika mada kishabikishabiki.
 
Mkuu....
Maiti haijawai ulizwa sanda
 
Ulicho andika sina hakika nacho.

Ila wakenya hawakuwai kuwapenda watanzania ata siku moja na nilishuudia juu ya chuki yao ya wazi nikiwa Zambia.

Watanzania wakiamka wakenya watalia na kusaga meno.
 
Ukitaka kupata faida jishushe huyu jamaa yupo sahihi
Anayoyasema yote ni kweli kuna rafikiyangu alipata tender ya kupeleka Avocado Dubai,Tanzania alikosa watu wa kufanya packing na box zikakosekana ilibidi aagize toka Kenya na hao watu wakupakia walikuwa wakenya,hii ilikuwa Njombe zilisafilishwa zikiwa na nembo ya Kenya.
 
Matunda mengi ya Tanzania ukiondoa Avocado, hayapandwi kisawia.
Hata hizo Avocado ni Wakenya hununua na kuzipeleka Kenya.


Kilimo chahitaji viwanda vya kusafisha, kufanya packaging.
Wakulima wengi hawafanyi hivyo...

Ukiangalia hata mchele, Korie pekee ndo anafanya packing nzuri
 
Tanzania haijajipanga kuexport directly kwa mzungu.
Tunamuuzia mkenya af mkenya anamuuzia mzungu hili nalo kinaongeza quota ya mkenya hata kama wabongo ndo wamehenyeka. Akili mtu wangu akili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…