Wakulima wa ufuta Songea

GEBA2013

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
4,880
Reaction score
6,047
Kwa wakulima wa ufuta naombeni mnisaidie jambo moja ni aina gani ya mbegu mnayotumia huku kwenu Namtumbo?

Naombeni msaada katika hili wadau.
 
Geba songea wana lima ufuta?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
SONGEA WANALIMA MAENEO YA NAMTUMBO.ila nilitaka kujua wanatumia aina gani ya mbegu.km kuna mtu yeyote anafahamu anicheki kwa 0752317974
 
Hongera sana kwa kulima ufuta;
Nami nitaujaribu mkoa wa pwani
nasikia kuwa unakubali.

Ngoja ningojee msimu.
 
Nataka nilime kwenye eneo moja kama unaenda morogoro kutoka dar mkono wako wa kushoto;
Ni maeneo ya kwa mathias ila ni kama km tatu hivi kutoka barabara kuu.
mkoa pwani unakubali ila unataka kulima sehemu gani pwani.
 
nataka nilime kwenye eneo moja kama unaenda morogoro kutoka dar mkono wako wa kushoto;
ni maeneo ya kwa mathias ila ni kama km tatu hivi kutoka barabara kuu.

kabla hujafika ubena au mdaula?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…