Upo wapi?
Kama upo Dar nenda Bliss Agro Inputs LTD.
Wapo Mwenge, Mikocheni Industrial Area, Coca Cola road.
Mita chache toka makutano/mataa ya Mwenge kuelekea Mikocheni.
Bei nimesahau sisi tulinunua mwaka mmoja umepita inaweza kuwa imebadilika.
Watafute mitandaoni utapata namba watakupa maelezo ya aina, ubora na bei ya wavu mbalimbali.
Kama upo Moshi au Arusha ulizia walipo Balton Arusha mjini.