Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inaendelea na mpango wa kutengeneza mazingira wezeshi kwa watanzania ili waweze kujikwamua kiuchumi kupitia mikopo yenye masharti nafuu
Serikali kupitia benk kuu ya Dunia (BoT) imetoa mkopo wa Tsh Bilioni 164,9 kwenye taasisi za kifedha na kwa sekta ya benk fedha hizo zimewanufaisha wakulima wadogo zaidi ya elfu 5 pamoja na vyama vya ushilika wa maosoko (AMCOS)21.
Hii inathibitisha kuwa Serikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea kuimarisha sekta ya kilimo ukiachilia mbali mikopo hii inayotolewa kwa masharti nafuu Serikali imeandaa masoko ya uhakika ya mazao na gharama za kilimo zimeshuka baada ya serikali kuweka ruzuku kwenye pembejeo za kilimo.