Serikali ya Rais Samia Suluhu imefanikiwa kukifanya kilimo kuwa biashara upatikanaji wa masoko ya kuuza mazao nje ya nchi umeongezeka.
Mauzo ya mazao ya mchele yameongezeka kutoka Tan 184,521 zenye thamani ya Bilioni 176.4 mwaka 2020 hadi Tan 441,908 hadi tani zenye thamani ya Bilioni 476.8 2021.
Mauzo ya mahindi yameongezeka kutoka Tani 92825 zenye thamani ya Bilioni 58 mwaka 2020 hadi Tani 189,277 zenye thamani ya Tsh Bilioni 72.4 mwaka 2021. Mauzo ya parachichi kutoka Bilioni 14.9 mwaka 2020 hadi Bilioni 24.4.
Vilevile Serikali imefanikisha uuzaji wa Soya nje ya nchi kufikia Tan 53,594 mwaka 2020/2021 kutoka Tan 2,647 mwaka 2019/2022.
Lakini pia kampuni 80 zakitanzania zimesajiliwa kuuza soya nchini china na mafanikio mengine ni kupanua soko la maharage kutoka Tanzania kwenda jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo mauzo hayo yameongezeka kufikia dola Milioni 950.
Serikali inaendelea kuwasisitiza wakulima kuhakikisha wanazalisha mazao yenye ubora ili kuweza kukizi matwakwa katika masoko ya kimataifa.